05. Hadiyth “Si katika Ummah wangu yule asiyewatukuza wakubwa wetu… “

101- ´Ubaadah bin as-Saamitw amesimilia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Si katika Ummah wangu yule asiyewatukuza wakubwa wetu, akawahurumia wadogo wetu na akawatambua wanachuoni wetu.”[1]

Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri, at-Twabaraaniy na al-Haakim aliyesema:

“Si katika sisi… “

[1] Nzuri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/152)
  • Imechapishwa: 02/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy