41- Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Kuichuma Sunnah ni bora kuliko kujitahidi katika Bid´ah.”[1]

Ameipokea al-Haakim kutoka kwake na akasema:

“Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh juu ya sharti za al-Bukhaariy na Muslim.”

[1] Swahiyh kutoka kwa Swahabah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/125)
  • Imechapishwa: 26/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy