05. Du´aa ya kumuombea aliyevaa nguo mpya


1-

تُبْلِي وَيُخْلِفُ اللَّهُ تَعَالَى

“Itakwisha na Allaah atakupa nyingine badala yake.”[1]

2-

اِلْبَسْ جَدِيداً وَعِشْ حَمِيداً وَمُتْ شَهِيداً

“Vaa kipya, ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru na kufa hali ya kuwa ni shahidi.”[2]

[1] Abu Daawuud (4020). Tazama “Swahiyh Abiy Daawuud” (02/760).

[2] Ibn Maajah (3558) na al-Baghawiy (12/41). Tazama “Swahiyh Ibn Maajah” (02/275).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 23/06/2018