03. Ni lini mfungaji anatakiwa kunuia swawm yake?


Swali 03: Ni lini mfungaji anatakiwa kunuia swawm yake?

Jibu: Swawm ya faradhi ni lazima kuinuia kabla ya kuingia alfajiri ya pili. Kuhusu swawm ya Sunnah inaweza kunuiliwa wakati wowote, hata kama ni baada ya kuchomoza kwa jua, kwa sharti kabla ya hapo mfungaji asiwe alikula au alikunywa. Swawm yake ni sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 19