106- Imepokelewa kutoka kwa Ka´b bin Maalik ambaye kaeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah  (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:

“Yeyote anayetafuta elimu kwa ajili ya ajilinganishe na wanachuoni, kugombana na wapumbavu na kufanya nyuso za watu zimgeukie, basi Allaah atamwingiza Motoni.”[1]

Ameipokea at-Tirmidhiy na tamko ni lake, Ibn Abiyd-Dunyaa katika “as-Swamt”, al-Haakim na al-Bayhaqiy. at-Tirmidhiy amesema:

“Hadiyth ni geni.”

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/153)
  • Imechapishwa: 03/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy