153- Bakr bin Maa´iz amesema: Nilimsikia ´Abdullaah bin Zayd ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mkojo usihifadhiwe katika chombo nyumbani. Malaika hawaingii ndani ya nyumba iliyohifadhi mkojo. Wala msikojoe mahali pa kuogea.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw” kwa cheni ya wapokezi nzuri pamoja na al-Haakim ambaye amesema:

“Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh.”

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/174)
  • Imechapishwa: 12/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy