Swali: Je, mtoto ambaye hakufunga atolewe Zakaat-ul-Fitwr pamoja na kipomoko kilichomo tumboni?
Jibu: Kuhusu mtoto Ibn ´Umar ameeleza:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amefaradhisha Zakaat-ul-Fitwr pishi ya tende au pishi ya shayiri kwa mvulana na msichana, mdogo na mkubwa, muungwana na mtumwa katika waislamu.”[1]
Kwa hivyo mtoto anatakiwa kutolewa Zakaat-ul-Fitwr kwa sababu ni haki ya waislamu.
Kuhusu kipokomo kilichomo tumboni, ´Uthmaan bin ´Affaan amependekeza mtu kukitolea.
[1] al-Bukhaariy (1503) na Muslim (984).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://af.org.sa/en/node/4270
- Imechapishwa: 23/06/2017
Swali: Je, mtoto ambaye hakufunga atolewe Zakaat-ul-Fitwr pamoja na kipomoko kilichomo tumboni?
Jibu: Kuhusu mtoto Ibn ´Umar ameeleza:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amefaradhisha Zakaat-ul-Fitwr pishi ya tende au pishi ya shayiri kwa mvulana na msichana, mdogo na mkubwa, muungwana na mtumwa katika waislamu.”[1]
Kwa hivyo mtoto anatakiwa kutolewa Zakaat-ul-Fitwr kwa sababu ni haki ya waislamu.
Kuhusu kipokomo kilichomo tumboni, ´Uthmaan bin ´Affaan amependekeza mtu kukitolea.
[1] al-Bukhaariy (1503) na Muslim (984).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://af.org.sa/en/node/4270
Imechapishwa: 23/06/2017
https://firqatunnajia.com/zakaat-ul-fitwr-kwa-mtoto-na-kipomoko/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket