Swali: Baba yangu hafungi. Je, nimtolee Zakaat-ul-Fitwr?
Jibu: Kama anaacha kufunga kwa kukusudia kwa sababu anaona kuwa sio wajibu, ni kafiri. Ama kama anaacha kufunga kwa sababu ya uvivu hakufuru. Hata hivyo mtawala amlazimishe kufunga pamoja na wewe kumuaidhi na kumnasihi. Hata hivyo sio kafiri na hivyo ni lazima kwake kutoa zakaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
- Imechapishwa: 20/10/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket