Swali: Mimi nimemuoa mwanamke ambaye ana watoto wawili kutoka kwa mume wake aliyetangulia. Je, inafaa kwangu kuwapa zakaah kwa sababu hawapewi masurufu kutoka kwa baba yao?
Jibu: Mpe baba yao awahudumie. Hawa ni watoto wa kamba ambao hawastahiki kupewa zakaah. Mpe yule anayewahudumia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (99) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-10-07-1440%D9%87%D9%80_0.mp3
- Imechapishwa: 21/07/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Watoto kujifanyia ´Aqiyqah wao wenyewe ikiwa baba hakufanya
Swali: Kuna mtu ana watoto sita na hakumfanyia ´Aqiyqah isipokuwa mmoja tu katika wao. Ni ipi hukumu? Ni lipi la wajibu kwake? Je, ni wajibu kwa watoto kujifanyia wao wenyewe ´Aqiyqah pamoja na kuzingatia ya kwamba watatu katika wao wana uwezo juu ya hilo? Jibu: Ikiwa baba huyu ambaye hakuwafanyia…
In "´Aqiyqah"
Msichana amempa mama yake zakaah yake
Swali: Je, inafaa kwa msichana kumpa mama yake zakaah khaswa kwa kuzingatia kwamba mama yake ni fakiri mno licha ya kwamba sijui kama yeye ndiye humpa matumizi? Jibu: Haifai kuwapa zakaah wazazi wawili, mababu, mabibi, watoto wa kike, watoto wa kiume, watoto wao wa kiume wala watoto wao wa kike.…
In "Watu wanaostahiki kupewa zakaah"
Zakaah kumpa mama mkwe na shemeji
Swali: Je, inafaa kumpa zakaah mama mkwe au kaka yake? Jibu: Ndio, wakiwa ni wahitaji. Ambao hawajuzu ni wale wazazi na watoto. Haifai kumpa baba yako na haifai kwa baba yako kukupa zakaah.
In "Watu wanaostahiki kupewa zakaah"