Swali: Mtu amelipa kiasi cha pesa katika ”Dar-ul-Maal al-Islaamiy” miaka miwili iliyopita kinachokadiriwa kuwa 4000 SAR na pesa hiyo ikazungukiwa na mwaka mzima, jambo ambalo halina shaka ya kwamba inatakiwa kutolewa zakaah. Lakini ikiwa mtu huyu ataoa karibuni na ana haja kubwa ya pesa ili azitoe kuwa mahari katika ndoa yake, je katika hali hii analazimika kutoa zakaah?
Jibu: Ndiyo. Aoe. Hili ni miongoni mwa sababu za baraka na tawfiyq katika ndoa – Allaah akitaka. Yule anayekusanya mali ili aoe, anunue nyumba au ana deni juu yake, kisha mwaka ukazunguka juu ya mali hiyo hali ya kuwa bado hajanunua wala hajaowa, basi atatoa zakaah. Zakaah yote ni baraka, yote ni utakaso na yote ni kheri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2257/حكم-الزكاة-في-المال-المجموع-للزواج-او-غيره
- Imechapishwa: 09/01/2026
Swali: Mtu amelipa kiasi cha pesa katika ”Dar-ul-Maal al-Islaamiy” miaka miwili iliyopita kinachokadiriwa kuwa 4000 SAR na pesa hiyo ikazungukiwa na mwaka mzima, jambo ambalo halina shaka ya kwamba inatakiwa kutolewa zakaah. Lakini ikiwa mtu huyu ataoa karibuni na ana haja kubwa ya pesa ili azitoe kuwa mahari katika ndoa yake, je katika hali hii analazimika kutoa zakaah?
Jibu: Ndiyo. Aoe. Hili ni miongoni mwa sababu za baraka na tawfiyq katika ndoa – Allaah akitaka. Yule anayekusanya mali ili aoe, anunue nyumba au ana deni juu yake, kisha mwaka ukazunguka juu ya mali hiyo hali ya kuwa bado hajanunua wala hajaowa, basi atatoa zakaah. Zakaah yote ni baraka, yote ni utakaso na yote ni kheri.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2257/حكم-الزكاة-في-المال-المجموع-للزواج-او-غيره
Imechapishwa: 09/01/2026
https://firqatunnajia.com/zakaah-juu-ya-pesa-aliyokusanya-kwa-ajili-ya-ndoa-au-jambo-jengine/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket