Swali: Allaah hunyoosha mkono usuki ili amsamehe aliyekosea mchana?
Jibu: Kwa njia inayolingana na Allaah. Hatuulizi ni namna gani hunyoosha. Yeye ndiye mjuzi zaidi juu ya hilo. Hunyoosha mkono Wake, hushuka katika mbingu ya chini kila usiku, husema kadhaa, huamrisha kadhaa na hukataza kadhaa. Zote hizi ni sifa zinazolingana na Allaah. Hatuzifananishi na sifa za viumbe.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
- Imechapishwa: 12/05/2024
Swali: Allaah hunyoosha mkono usuki ili amsamehe aliyekosea mchana?
Jibu: Kwa njia inayolingana na Allaah. Hatuulizi ni namna gani hunyoosha. Yeye ndiye mjuzi zaidi juu ya hilo. Hunyoosha mkono Wake, hushuka katika mbingu ya chini kila usiku, husema kadhaa, huamrisha kadhaa na hukataza kadhaa. Zote hizi ni sifa zinazolingana na Allaah. Hatuzifananishi na sifa za viumbe.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
Imechapishwa: 12/05/2024
https://firqatunnajia.com/yeye-ndiye-mjuzi-zaidi-wa-anavyonyoosha-mkono/