Yako wapi makatazo ya wanawake kuyatembelea makaburi?

Swali: Wapi ilichukuliwa katazo la wanawake kuyatembelea makaburi?

Jibu: Kutoka katika Hadiyth nyingine. Katika Hadith ya Ibn ‘Abbaas amesema:

“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi na wale wenye kuyafanya ni mahali pa kuswalia na wanaoyawekea mataa.”[1]

Hadiyth ya Abu Hurayrah na Hadiyth ya Hassan bin Thaabit – zote zinaonyesha katazo la wanawake kuyatembelea makaburi.

[1] Abu Daawuud (3236), at-Tirmidhiy (320), an-Nasaa’iy (2043) na Ahmad (2030). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Silsilat-ul-Ahaadiyth adh-Dhwa´iyfah” (225).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28810/ما-دليل-نهي-النساء-عن-زيارة-القبور
  • Imechapishwa: 25/04/2025