Swali: Je, mkunga anatakiwa kuoga au inamtosheleza kutawadha?
Jibu: Si lazima kwake kuoga wala kutawadha kwa sababu ya kumhudumia mwanamke mjamzito katika taratibu za kujifungua. Bali anatakiwa kuosha najisi ya damu au mfano wake iliyompata mwilini au kwenye nguo zake, ikiwa anataka kuswali. Lakini wudhuu´ wake unachenguka kwa kugusa tupu ya mwanamke mjamzito ikiwa ataigusa wakati wa kujifungua.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/316)
- Imechapishwa: 20/11/2026
Swali: Je, mkunga anatakiwa kuoga au inamtosheleza kutawadha?
Jibu: Si lazima kwake kuoga wala kutawadha kwa sababu ya kumhudumia mwanamke mjamzito katika taratibu za kujifungua. Bali anatakiwa kuosha najisi ya damu au mfano wake iliyompata mwilini au kwenye nguo zake, ikiwa anataka kuswali. Lakini wudhuu´ wake unachenguka kwa kugusa tupu ya mwanamke mjamzito ikiwa ataigusa wakati wa kujifungua.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/316)
Imechapishwa: 20/11/2026
https://firqatunnajia.com/wudhuu-wa-mkunga-baada-ya-kumhudumia-mwanamke/