Josho la aliye na janaba baada ya kufanya haja kubwa

Swali: Mwanaume amefanya jimaa na mke wake. Baada ya kufanya jimaa akajisaidia haja kubwa. Atangulize lipi katika kujisafisha?

Jibu: Inamtosheleza kujisafisha mara moja kwa ajili ya jimaa na kujisaidia kwake haja kubwa, kisha anaoga kwa sababu ya jimaa.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/316)
  • Imechapishwa: 20/11/2026