Swali: Je, janaba huoshwa kwa sabuni?
Jibu: Ni lazima kuoga janaba kwa kutumia maji. Si lazima kutumia visafishaji kama sabuni na mfano wake. Hivi ndivyo ilivyoelekezwa na Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hata hivyo hapana neno ikiwa mtu atatumia sabuni au mfano wake miongoni mwa visafishaji.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/315)
- Imechapishwa: 20/11/2026
Swali: Je, janaba huoshwa kwa sabuni?
Jibu: Ni lazima kuoga janaba kwa kutumia maji. Si lazima kutumia visafishaji kama sabuni na mfano wake. Hivi ndivyo ilivyoelekezwa na Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hata hivyo hapana neno ikiwa mtu atatumia sabuni au mfano wake miongoni mwa visafishaji.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/315)
Imechapishwa: 20/11/2026
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kwa-mwenye-kuoga-josho-kubwa-kutumia-sabuni/