Wudhuu´ wa aliyevaa plasta

Swali: Nimeota majipu yanayofanana na majipu madogo kwenye mguu wangu. Matibabu yake ni kufunga sehemu hiyo kwa plasta ili maji yasiifikie wakati wa wudhuu´. Ni ipi hukumu ya wudhuu´ wangu katika hali kama hii?

Jibu: Wudhuu´ wako ni sahihi ikiwa utapangusa juu ya plasta hiyo au ukapitisha maji juu yake.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/248-249)
  • Imechapishwa: 06/11/2026