Swali: Mimi ninaishi maeneo ya vijijini. Maji wakati mwingine huwa mbali nasi takriban 80 km na wakati mwingine huwa chini au zaidi ya hapo. Tunawapa wanyama wetu maji hayo, yawe yako mbali nasi au karibu. Je, inajuzu kwetu kufanya Tayammum wakati maji yako mbali au karibu?
Jibu: Ikiwa hali ni kama ulivyoeleza, kwamba mnaleta maji mpaka mahali mnapoishi na ni lazima myalete kwa ajili ya wanyama, basi haijuzu kwenu kufanya Tayammum, kwa kuwa maji tayari yapo kwenu, hata kama mmeyaleta kwa ajili ya wanyama wenu kutoka mahali palipo mbali.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/332)
- Imechapishwa: 21/11/2026
Swali: Mimi ninaishi maeneo ya vijijini. Maji wakati mwingine huwa mbali nasi takriban 80 km na wakati mwingine huwa chini au zaidi ya hapo. Tunawapa wanyama wetu maji hayo, yawe yako mbali nasi au karibu. Je, inajuzu kwetu kufanya Tayammum wakati maji yako mbali au karibu?
Jibu: Ikiwa hali ni kama ulivyoeleza, kwamba mnaleta maji mpaka mahali mnapoishi na ni lazima myalete kwa ajili ya wanyama, basi haijuzu kwenu kufanya Tayammum, kwa kuwa maji tayari yapo kwenu, hata kama mmeyaleta kwa ajili ya wanyama wenu kutoka mahali palipo mbali.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/332)
Imechapishwa: 21/11/2026
https://firqatunnajia.com/watu-wa-mashambani-wanataka-kufanya-tayammum-kwa-sababu-maji-yako-mbali-sana/