Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya Tayammum?
Jibu: Tayammum ni wajibu kwa mtu ambaye hana maji, anayapata lakini hawezi kuyatumia au kutumia maji kunamletea madhara.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/331)
- Imechapishwa: 21/11/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya Tayammum?
Jibu: Tayammum ni wajibu kwa mtu ambaye hana maji, anayapata lakini hawezi kuyatumia au kutumia maji kunamletea madhara.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/331)
Imechapishwa: 21/11/2026
https://firqatunnajia.com/hapa-ndipo-tayammum-itakuwa-wajibu/