Swali: Baada ya kuoga janaba kwa muda mfupi, kabla maji yaliyokuwa mwilini mwangu hayajakauka, niligundua sehemu ambayo maji hayakuifikia. Je, kuoga kwangu kunatosheleza nikiiwekea maji sehemu hiyo?
Jibu: Ikiwa umeona sehemu ya mwili ambayo maji hayakuifikia, kisha ukaosha sehemu hiyo kabla maji yaliyokuwa mwilini hayajakauka, basi kuoga kwako ni sahihi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/326)
- Imechapishwa: 20/11/2026
Swali: Baada ya kuoga janaba kwa muda mfupi, kabla maji yaliyokuwa mwilini mwangu hayajakauka, niligundua sehemu ambayo maji hayakuifikia. Je, kuoga kwangu kunatosheleza nikiiwekea maji sehemu hiyo?
Jibu: Ikiwa umeona sehemu ya mwili ambayo maji hayakuifikia, kisha ukaosha sehemu hiyo kabla maji yaliyokuwa mwilini hayajakauka, basi kuoga kwako ni sahihi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/326)
Imechapishwa: 20/11/2026
https://firqatunnajia.com/ameona-baadhi-ya-viungo-havijafikiwa-na-maji-baada-ya-kuoga-janaba/