Swali: Je, mwanamke mwenye nywele ndefu ambazo hazijasukwa anaweza kulinganishwa na mwanamke mwenye nywele zilizosukwa katika kuoga janaba, au ni lazima aoshe nywele zake zote?
Jibu: Mtu aliye na janaba na mwanamke ambaye hedhi yake imekatika ni lazima waeneze maji katika mwili wao wote na nywele zao kwa nia ya kujitwaharisha, ni mamoja iwe nywele zao ni ndefu au fupi, na iwe zimesukwa au hazijasukwa.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/323)
- Imechapishwa: 20/11/2026
Swali: Je, mwanamke mwenye nywele ndefu ambazo hazijasukwa anaweza kulinganishwa na mwanamke mwenye nywele zilizosukwa katika kuoga janaba, au ni lazima aoshe nywele zake zote?
Jibu: Mtu aliye na janaba na mwanamke ambaye hedhi yake imekatika ni lazima waeneze maji katika mwili wao wote na nywele zao kwa nia ya kujitwaharisha, ni mamoja iwe nywele zao ni ndefu au fupi, na iwe zimesukwa au hazijasukwa.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/323)
Imechapishwa: 20/11/2026
https://firqatunnajia.com/nywele-za-mwanamke-mwenye-hedhi-na-janaba/