Watu pekee watakaovuka daraja

Swali: Hakuna watakaovuka juu ya Njia isipokuwa waumini tu?

Jibu: Ndio, makafiri watavutwa ndani ya Moto. Baadhi ya wengine watakaojaribu kuvuka wataanguka kutokana na maasi na makosa yao.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29350/هل-الصراط-لا-يمر-عليه-الا-المومنون
  • Imechapishwa: 11/07/2025