Swali: Waislamu wengi huhakikisha hawapitwi na chochote katika swalah na hivyo wanapokuja msikitini na kumsikia imamu yuko katika swalah, huanza kukimbia na kuharakisha kuelekea msikitini ili wawahi swalah. Ni ipi hukumu ya kitendo hiki au hali hii ni ipi?
Jibu: Kuharakisha na kukimbia ni jambo linalochukiza na halifai. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mnapokuja kwenye swalah, basi tembeeni kwa utulivu na heshima. Kile mtakachokiwahi kiswalini, na kile kilichowapita kikamilisheni.”[1]
Sunnah ni kwamba aje kwa kutembea akiwa na unyenyekevu bila kuharakisha hali ya kuwa mtulivu, akitembea mwendo wa kawaida kwa unyenyekevu na utulivu mpaka afike katika safu. Hiyo ndiyo Sunnah.
[1] al-Bukhaariy (636) na Muslim (602).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/145)
- Imechapishwa: 04/03/2026
Swali: Waislamu wengi huhakikisha hawapitwi na chochote katika swalah na hivyo wanapokuja msikitini na kumsikia imamu yuko katika swalah, huanza kukimbia na kuharakisha kuelekea msikitini ili wawahi swalah. Ni ipi hukumu ya kitendo hiki au hali hii ni ipi?
Jibu: Kuharakisha na kukimbia ni jambo linalochukiza na halifai. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mnapokuja kwenye swalah, basi tembeeni kwa utulivu na heshima. Kile mtakachokiwahi kiswalini, na kile kilichowapita kikamilisheni.”[1]
Sunnah ni kwamba aje kwa kutembea akiwa na unyenyekevu bila kuharakisha hali ya kuwa mtulivu, akitembea mwendo wa kawaida kwa unyenyekevu na utulivu mpaka afike katika safu. Hiyo ndiyo Sunnah.
[1] al-Bukhaariy (636) na Muslim (602).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/145)
Imechapishwa: 04/03/2026
https://firqatunnajia.com/waswaliji-wanaokimbia-kwa-ajili-ya-kuwahi-rakah/