Swali: Mwanamke alifariki na kabla ya kufariki aliusia kwamba mali fulani aliyokuwa nayo apewe mwanawe mdogo. Je, ni lazima kutekeleza wasia wake?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakika Allaah amempa kila mwenye haki haki yake. Kwa hivyo hakuna wasia kwa mrithi.”
Kwa hiyo mrithi hapewi wasia. Wasia huo ni batili. Vivyo hivyo mtu hawezi kuusia zaidi ya theluthi, kwa sababu Allaah (Ta´ala) amezigawa sehemu za mirathi Mwenyewe na akampa kila mwenye haki haki yake. Hivyo mwana hausiwiwi. Hata hivyo ana haki yake katika mirathi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 30/09/2026
Swali: Mwanamke alifariki na kabla ya kufariki aliusia kwamba mali fulani aliyokuwa nayo apewe mwanawe mdogo. Je, ni lazima kutekeleza wasia wake?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakika Allaah amempa kila mwenye haki haki yake. Kwa hivyo hakuna wasia kwa mrithi.”
Kwa hiyo mrithi hapewi wasia. Wasia huo ni batili. Vivyo hivyo mtu hawezi kuusia zaidi ya theluthi, kwa sababu Allaah (Ta´ala) amezigawa sehemu za mirathi Mwenyewe na akampa kila mwenye haki haki yake. Hivyo mwana hausiwiwi. Hata hivyo ana haki yake katika mirathi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 30/09/2026
https://firqatunnajia.com/wasia-wa-kumpa-anayestahiki-kurithi-na-wasia-wa-zaidi-ya-theluthi/