Swali: Mwanamke amepata ugonjwa uliomfanya alale kitandani kabla ya kufanya Twawaaf-ul-Ifaadhwah. Ni jambo gani linalomlazimu msimamizi wake kulifanya ili Hajj yake ikamilike?
Jibu: Afanyiwe Twawaaf akiwa amebebwa, kwa sababu ni lazima afanye Twawaaf na Twawaaf ni nguzo miongoni mwa nguzo za Hajj. Mwenye kushindwa kufanya Twawaaf mwenyewe, basi hufanyishwa Twawaaf akiwa amebebwa.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 30/09/2026
Swali: Mwanamke amepata ugonjwa uliomfanya alale kitandani kabla ya kufanya Twawaaf-ul-Ifaadhwah. Ni jambo gani linalomlazimu msimamizi wake kulifanya ili Hajj yake ikamilike?
Jibu: Afanyiwe Twawaaf akiwa amebebwa, kwa sababu ni lazima afanye Twawaaf na Twawaaf ni nguzo miongoni mwa nguzo za Hajj. Mwenye kushindwa kufanya Twawaaf mwenyewe, basi hufanyishwa Twawaaf akiwa amebebwa.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 30/09/2026
https://firqatunnajia.com/mwanamke-mgonjwa-asiyeweza-kufanya-twawaaf/