Swali: Je, msemo kwamba Moto utateketea ni msemo wa ya Ahl-us-Sunnah? Ni yepi maoni ya Shaykh-ul-Islaam (Rahimahu Allaah) kuhusu suala hili?
Jibu: Msemo kwamba Moto utaangamia ni maneno batili. Maoni sahihi ni kwamba Moto ni kama Pepo; Pepo na Moto ni vya kudumu na havitateketea. Dalili zimefahamisha hivo.
Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) anaona kwamba Moto utabaki na kuendelea kama Pepo. Vivyo hivyo Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah). Hata hivyo Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) ametaja maono mawili kuhusu suala hili, na akataja pia wale wanaosema kwamba Moto utaangamia pamoja na athari walizotaja. Kwa hiyo ni kana kwamba ametaja maono mawili. Huenda maoni yake aliyochagua ni kwamba Moto utabaki.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 30/09/2026
Swali: Je, msemo kwamba Moto utateketea ni msemo wa ya Ahl-us-Sunnah? Ni yepi maoni ya Shaykh-ul-Islaam (Rahimahu Allaah) kuhusu suala hili?
Jibu: Msemo kwamba Moto utaangamia ni maneno batili. Maoni sahihi ni kwamba Moto ni kama Pepo; Pepo na Moto ni vya kudumu na havitateketea. Dalili zimefahamisha hivo.
Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) anaona kwamba Moto utabaki na kuendelea kama Pepo. Vivyo hivyo Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah). Hata hivyo Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) ametaja maono mawili kuhusu suala hili, na akataja pia wale wanaosema kwamba Moto utaangamia pamoja na athari walizotaja. Kwa hiyo ni kana kwamba ametaja maono mawili. Huenda maoni yake aliyochagua ni kwamba Moto utabaki.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 30/09/2026
https://firqatunnajia.com/maoni-ya-ibn-taymiyyah-na-ibn-ul-qayyim-ni-kwamba-moto-hautateketea/