Swalah ya ´Ishaa ya msafari kabla ya Maghrib

Swali: Kuna mtu ambaye ni msafiri aliswali ´Ishaa kabla ya Maghrib kwa kutojua. Je, anatakiwa kuirudia swalah ya ´Ishaa baada ya kuswali Maghrib?

Jibu: Ndiyo, airudie swalah ya ´Ishaa. Kwa sababu ni lazima kufuata mpangilio. Kwa hiyo swalah yake ya ´Ishaa aliyoiswali kabla ya Maghrib ni batili.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
  • Imechapishwa: 30/09/2026