Swali: Mnyama mwingine, asiyekuwa mbwa, kuramba chombo kama vile nguruwe?
Jibu: Hakuna kitu kilichopokelewa juu yake. Kwa hivyo kunasamehewa. Lakini ikiwa maji ni kidogo kinaoshwa kawaida. Mfano wa wanyama hao ni simbamarara na chui. Mfano mwingine ni mbwa mwitu akiramba ndani ya maji kidogo chombo kinaoshwa. Lakini hakuna kikomo cha mara saba. Kinaoshwa mara moja, mbili au tatu kulingana na dhana yake itavyompelekea kwamba athari yake imeondoka.
Swali: Je, kwa hivyo kurambwa na nguruwe hakuna kitu?
Jibu: Nguruwe ni kama mbwa mwitu, simba na simbamarara. Kutumia kipomo kumlinganisha na mbwa haiko dhahiri. Kwa maana nyingine yeye ni kama wanyama wengine.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24694/حكم-ولوغ-حيوان-غير-الكلب-في-الاناء
- Imechapishwa: 27/11/2024
Swali: Mnyama mwingine, asiyekuwa mbwa, kuramba chombo kama vile nguruwe?
Jibu: Hakuna kitu kilichopokelewa juu yake. Kwa hivyo kunasamehewa. Lakini ikiwa maji ni kidogo kinaoshwa kawaida. Mfano wa wanyama hao ni simbamarara na chui. Mfano mwingine ni mbwa mwitu akiramba ndani ya maji kidogo chombo kinaoshwa. Lakini hakuna kikomo cha mara saba. Kinaoshwa mara moja, mbili au tatu kulingana na dhana yake itavyompelekea kwamba athari yake imeondoka.
Swali: Je, kwa hivyo kurambwa na nguruwe hakuna kitu?
Jibu: Nguruwe ni kama mbwa mwitu, simba na simbamarara. Kutumia kipomo kumlinganisha na mbwa haiko dhahiri. Kwa maana nyingine yeye ni kama wanyama wengine.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24694/حكم-ولوغ-حيوان-غير-الكلب-في-الاناء
Imechapishwa: 27/11/2024
https://firqatunnajia.com/wanyama-wakali-asiyekuwa-mbwa-wanaporamba-chombo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)