Swali: Baadhi ya wanawake wanapokutana katika isiyokuwa walima au harusi wanapiga dufu.
Jibu: Salama zaidi ni kuacha. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewaruhusu wanawake katika kisa cha vijakazi na siku ya ´iyd na kisa cha Rubay´a.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23850/حكم-ضرب-النساء-الدف-في-غير-عرس
- Imechapishwa: 19/05/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)