Swali: Mahakama ya juu Marekani wametunga sheria mpya inayojuzisha mwanamume kumuoa mwanaume mwenzake na mwanamke kumuoa mwanamke mwenzake. Utawaona baadhi ya waislamu – Allaah awaongoze – wanakubaliana na hukumu hii na wanasema kwamba hakuna neno lau mwanamume atataka kumuoa mwanamke mwenzake. Una nasaha zozote za kuwapa?
Jibu: Hawa ni punda na sio watu. Ni punda waliovaa nguo za watu. Kitendo hichi ni kufuru. Mwanamume kumuoa mwanamume mwenzie ni miongoni mwa mambo yanayojulikana vyema katika dini. Mwenye kufanya hivi, walii na wanandoa wawili hao ambao ni punda na mashahidi wawili ni makafiri. Kwa sababu uharamu wa mambo haya ni jambo jinalojulikana vyema uharamu wake katika dini. Kitendo cha nchi ya kikafiri kujuzisha sio hoja; hiyo ni hoja dhaifu. Hii ni liwati. Ni jambo jinalojulikana vyema katika dini.
Imepokelewa kutoka kwa ´Abdul-Malik bin Marwaan, ambaye ni mmoja katika makhaliyfah wa Banu Umayyah, ´Abdul-Malik bin Marwaan ni mtu anayejulikana. Anaitwa kuwa ni baba wa makhaliyfah kwa sababu wengi katika viongozi wa Banu Umayyah ima wametoka katika watoto wao au katika wajukuu zake. Amesema:
“Lau kitendo hicho kisingelitajwa ndani ya Qur-aan basi nisingesema kuwa itatokea katika Ummah huu.”
Ni jambo linalojulikana mpaka kwa watu wa kawaida. Naapa kwa Allaah lau mtamuuliza bitikizee wa Kiislamu ambaye anamcha Allaah lakini hakusoma akaambiwa:
“Kuna mwanamume fulani anataka kumuoa mwanaume.”
Je, hivi mnadhani kuwa atajizuia kumlaani? Naapa kwa Allaah sidhani kama atajizuia kumlaani. Bali atamlaani na kumtukana.
Watu wakioana ina maana wamehalalisha. Ni kwa nini Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliamrisha kikosi – na Hadiyth hiyo imepokelewa katika Sunan na ni Swahiyh – kukata kichwa cha mwanamume ambaye alimuoa mke wa baba yake? Tofautisheni kati ya ndoa kama ndoa na kitendo kama kitendo. Fahamuni jambo hilo. Mtu kumuoa mke wa baba yake – ni mamoja amemwacha au amemfilia – huku ni kumhalalisha mwanamke huyo. Kadhalika mwanamume kumuoa mwanaume mwenzake ni hukumu hiyohiyo. Hakuna tofauti kati ya hali hizo mbili. Yasikuchanganyeni.
- Mhusika: Shaykh Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=ESdGhCsij7k
- Imechapishwa: 21/10/2019

Mhusika: Shaykh Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=ESdGhCsij7k
Imechapishwa: 21/10/2019
https://firqatunnajia.com/wanandoa-wenye-jinsia-mbili-tofauti-wenye-kuoana-ni-makafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)