Swali: Je, karamu ya ndoa inapaswa kufanywa wakati wa kufunga ndoa au wakati wa kutangaza kuingia kwa mke?

Jibu: Inapaswa kufanywa wakati wa kuingia. Walima inafanywa pale atakapomwingilia mke.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27021/هل-تكون-الوليمة-عند-عقد-النكاح-او-الدخول
  • Imechapishwa: 21/03/2025