Swali: Ni Sunnah kuoga usiku wa kuamkia swalah ya ´iyd au ni lazima mtu aoge pale anapotaka kutoka?
Jibu: Mtu aoge pale anapotaka kutoka. Kwa sababu akioga wakati wa usiku anaweza baadaye kunuka jasho au harufu mbaya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
- Imechapishwa: 01/06/2019
Swali: Ni Sunnah kuoga usiku wa kuamkia swalah ya ´iyd au ni lazima mtu aoge pale anapotaka kutoka?
Jibu: Mtu aoge pale anapotaka kutoka. Kwa sababu akioga wakati wa usiku anaweza baadaye kunuka jasho au harufu mbaya.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
Imechapishwa: 01/06/2019
https://firqatunnajia.com/wakati-wa-kuoga-siku-ya-iyd/