Swali: Ni ipi maana ya:

قَالَ الَّذِينَ غَلَبُوا عَلَىٰ أَمْرِهِمْ لَنَتَّخِذَنَّ عَلَيْهِم مَّسْجِدًا

“Wakasema wale walioshinda katika shauri lao: “Bila shaka tutajenga msikiti juu yao?”[1]

Jibu: Walifikiri kuwa inafaa na kwamba ni ´ibaadah kutokana na ujinga wao. Imekuja katika Shari´ah ya Kiislamu ya kwamba ni maovu. Hilo ni kutokana na ujinga wao. Sunnah inafahamisha ya kwamba walizungumza kwa ujinga wao.

[1] 18:21

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24582/معنى-قوله-تعالى-لنتخذن-عليهم-مسجدا
  • Imechapishwa: 07/11/2024