Swali: Vipi ikiwa manong´onezo ni kati ya waislamu wawili na aliye pembeni yao sio muislamu?
Jibu: Haijalishi kitu muda wa kuwa yuko pamoja nao katika kikao. Dhambi zinakuwa kubwa zaidi ikiwa sio muislamu kwa sababu anakuwa na dhana inakuwa kubwa kwamba wanamzungumza yeye.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24278/حكم-المناجاة-بين-مسلمين-وبينهم-غير-مسلم
- Imechapishwa: 26/09/2024
Swali: Vipi ikiwa manong´onezo ni kati ya waislamu wawili na aliye pembeni yao sio muislamu?
Jibu: Haijalishi kitu muda wa kuwa yuko pamoja nao katika kikao. Dhambi zinakuwa kubwa zaidi ikiwa sio muislamu kwa sababu anakuwa na dhana inakuwa kubwa kwamba wanamzungumza yeye.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24278/حكم-المناجاة-بين-مسلمين-وبينهم-غير-مسلم
Imechapishwa: 26/09/2024
https://firqatunnajia.com/waislamu-wawili-kunongonezana-na-pembeni-yao-kuna-kafiri/