Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa Niqaab? Ni ipi hukumu ya mwanamke kumtazama mwanaume? Je, sauti ya mwanamke ni uchi?
Jibu: Kuvaa Niqaab hakuna ubaya ikiwa itafunika uso wote na kubaki jicho moja au mawili tu kwa haja ya kuona. Hilo halina tatizo. Hata hivyo Khimaar kamili inayofunika vizuri zaidi uso na kichwa ni bora zaidi ni yenye kujiepusha zaidi na shaka na mambo ya fitina.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3169/حكم-لبس-البرقع
- Imechapishwa: 26/07/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa Niqaab? Ni ipi hukumu ya mwanamke kumtazama mwanaume? Je, sauti ya mwanamke ni uchi?
Jibu: Kuvaa Niqaab hakuna ubaya ikiwa itafunika uso wote na kubaki jicho moja au mawili tu kwa haja ya kuona. Hilo halina tatizo. Hata hivyo Khimaar kamili inayofunika vizuri zaidi uso na kichwa ni bora zaidi ni yenye kujiepusha zaidi na shaka na mambo ya fitina.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3169/حكم-لبس-البرقع
Imechapishwa: 26/07/2026
https://firqatunnajia.com/wacha-jicho-au-au-mbili-tu-kwa-dharurah/