Swali: Vipi suruwali kwa wanawake?

Jibu: Avae mavazi ya wanawake wenzie yasiyokuwa na kujifananisha na wanamme. Avae mavazi ya wanawake ambao ni katika mfano wake. Mavazi yao yasiwe yenye kushuhurika wala yenye kujifananisha na wanamme. Vivyo hivyo mwanaume pia avae mavazi ya wanamme mfano wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21935/ما-حكم-لبس-البنطلون-للنساء
  • Imechapishwa: 12/01/2023