Swali: Nina mama yangu yuko Hadhwramawt na nimekuwa nikimhudumia kwa muda mrefu. Sasa niko mbali nikitafuta riziki. Naomba kuuliza nifanyeje ili nimtendee mema?
Jibu: Mteendee wema kwa kumtumia mahitaji yake, kumwandikia na kuwausia wanaosafiri kwenda kwake wamfikishie kwamba uko salama na wamfikishie salamu zako. Aidha msaidie ikiwa ana haja au umpe zawadi hata kama hana haja, kwa sababu zawadi kuleta mapenzi moyoni. Hayo ndiyo yaliyo wajibu kwako juu yake mpaka pale Allaah (Ta´ala) atapofanyia wepesi wa kumtembelea baadaye.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3317/كيفية-بر-الوالدة-المنقطع-عنها-ولدها-في-بلد-اخر
- Imechapishwa: 13/08/2026
Swali: Nina mama yangu yuko Hadhwramawt na nimekuwa nikimhudumia kwa muda mrefu. Sasa niko mbali nikitafuta riziki. Naomba kuuliza nifanyeje ili nimtendee mema?
Jibu: Mteendee wema kwa kumtumia mahitaji yake, kumwandikia na kuwausia wanaosafiri kwenda kwake wamfikishie kwamba uko salama na wamfikishie salamu zako. Aidha msaidie ikiwa ana haja au umpe zawadi hata kama hana haja, kwa sababu zawadi kuleta mapenzi moyoni. Hayo ndiyo yaliyo wajibu kwako juu yake mpaka pale Allaah (Ta´ala) atapofanyia wepesi wa kumtembelea baadaye.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3317/كيفية-بر-الوالدة-المنقطع-عنها-ولدها-في-بلد-اخر
Imechapishwa: 13/08/2026
https://firqatunnajia.com/vipi-mtoto-atamtendea-wema-mzazi-aliye-mbali/