Swali 662: Ni mipaka ipi ya uongo kati ya mwanamume na mke wake?
Jibu: Kati yale yaliyo baina yao kuhusu maisha yao ya ndoa. Mume anayo ruhusa ya kuapa kwa uongo, lakini atoa kafara ikiwa ni kuhusu yaliyo siku zijazo, na kuhusu siku zilizopita hakuna kutoa kafara. Hakuna dhambi ndani yake kati ya wanandoa wala hakuna kutoa fidia.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 240
- Imechapishwa: 26/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 662: Ni mipaka ipi ya uongo kati ya mwanamume na mke wake?
Jibu: Kati yale yaliyo baina yao kuhusu maisha yao ya ndoa. Mume anayo ruhusa ya kuapa kwa uongo, lakini atoa kafara ikiwa ni kuhusu yaliyo siku zijazo, na kuhusu siku zilizopita hakuna kutoa kafara. Hakuna dhambi ndani yake kati ya wanandoa wala hakuna kutoa fidia.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 240
Imechapishwa: 26/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/uwongo-wa-mume-kwa-mke/