Swali 189: Unasemaje juu ya mwenye kujiita Salafiy au Athariy? Je, ni kujitakasa?
Jibu: Akiwa ni mkweli kwamba ni Salafiy au Athariy hakuna neno. Ni kama mfano wa Salaf walipokuwa wakisema “fulani ni Salafiy, fulani ni Athariy”. Ni utakaso wa lazima. Ni utakaso wa wajibu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 403
- Imechapishwa: 11/01/2020
Swali 189: Unasemaje juu ya mwenye kujiita Salafiy au Athariy? Je, ni kujitakasa?
Jibu: Akiwa ni mkweli kwamba ni Salafiy au Athariy hakuna neno. Ni kama mfano wa Salaf walipokuwa wakisema “fulani ni Salafiy, fulani ni Athariy”. Ni utakaso wa lazima. Ni utakaso wa wajibu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 403
Imechapishwa: 11/01/2020
https://firqatunnajia.com/utakaso-wa-lazima-na-wa-wajibu/