Swali: Ikiwa mume anamlingania mke wake katika ´Aqiydah ya ´Ashaa´irah na ameshikilia hilo. Ni kipi kinachompasa mke kwa sababu anachelea ´Aqiydah yake…

Jibu: Kinachompasa mosi ambainishie kuwa ni hilo kosa na kwamba ´Ashaa´irah wako katika makosa. Akikubali ni sawa. Vinginevyo asimuasi katika hilo. Abaki juu ya ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
  • Imechapishwa: 06/03/2025