Swali: Ni ipi hali ya usahihi wa Hadiyth:
“Hakuna talaka kwa kufungika akili.”?
Nini maana ya kufungika akili? Je, hasira wakati wa talaka ina aina mbalimbali au ni aina moja?
Jibu: Hadiyth isemayo:
“Hakuna talaka wala kuacha huru katika kufungika akili.”
katika cheni yake ya wapokezi kuna udhaifu kidogo. Lakini ina njia nyingi na Hadiyth nyingine zinazoitia nguvu. Kwa hiyo lililo bora ni kuichukua na kuitumia. Maana yake ni kwamba ikiwa talaka imetokea katika hali ya kufungika akili, nayo ni kulazimishwa au hasira kali sana, basi talaka haipiti. Endapo hali ya kufungika akili itathibiti, kulazimishwa kuthibiti na kuthibiti kuwepo kwa hasira kali sana, ima kwa kukiri kwao wote wawili au kwa ushahidi unaoshuhudia hilo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2129/حكم-حديث-لا-طلاق-في-اغلاق
- Imechapishwa: 02/01/2026
Swali: Ni ipi hali ya usahihi wa Hadiyth:
“Hakuna talaka kwa kufungika akili.”?
Nini maana ya kufungika akili? Je, hasira wakati wa talaka ina aina mbalimbali au ni aina moja?
Jibu: Hadiyth isemayo:
“Hakuna talaka wala kuacha huru katika kufungika akili.”
katika cheni yake ya wapokezi kuna udhaifu kidogo. Lakini ina njia nyingi na Hadiyth nyingine zinazoitia nguvu. Kwa hiyo lililo bora ni kuichukua na kuitumia. Maana yake ni kwamba ikiwa talaka imetokea katika hali ya kufungika akili, nayo ni kulazimishwa au hasira kali sana, basi talaka haipiti. Endapo hali ya kufungika akili itathibiti, kulazimishwa kuthibiti na kuthibiti kuwepo kwa hasira kali sana, ima kwa kukiri kwao wote wawili au kwa ushahidi unaoshuhudia hilo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2129/حكم-حديث-لا-طلاق-في-اغلاق
Imechapishwa: 02/01/2026
https://firqatunnajia.com/usahihi-wa-hadiyth-hakuna-talaka-wakati-wa-kufungika-akili/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket