Swali: Rafiki yangu aliniuliza na akasema kwamba anapoamka asubuhi kutoka usingizini hukuta unyevunyevu fulani kwenye suruwali yake. Je, inajuzu kwake kutawadha na kuswali au ni wajibu kwake kuoga josho kila siku? Baadhi ya watu wanasema kwamba hali hii inasababishwa na baridi, lakini yeye anasema kwamba hali hiyo humpata wakati wa kiangazi na wakati wa baridi.
Jibu: Si wajibu kwake kuoga josho la janaba mpaka awe na uhakika kwamba hayo ni manii. Bali ni wajibu kwake kujisafisha kwa maji, kutawadha kwa namna iliyowekwa katika Shari´ah na kuosha sehemu iliyofikiwa na unyevunyevu huo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/290-291)
- Imechapishwa: 12/11/2026
Swali: Rafiki yangu aliniuliza na akasema kwamba anapoamka asubuhi kutoka usingizini hukuta unyevunyevu fulani kwenye suruwali yake. Je, inajuzu kwake kutawadha na kuswali au ni wajibu kwake kuoga josho kila siku? Baadhi ya watu wanasema kwamba hali hii inasababishwa na baridi, lakini yeye anasema kwamba hali hiyo humpata wakati wa kiangazi na wakati wa baridi.
Jibu: Si wajibu kwake kuoga josho la janaba mpaka awe na uhakika kwamba hayo ni manii. Bali ni wajibu kwake kujisafisha kwa maji, kutawadha kwa namna iliyowekwa katika Shari´ah na kuosha sehemu iliyofikiwa na unyevunyevu huo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/290-291)
Imechapishwa: 12/11/2026
https://firqatunnajia.com/unyenyekevu-kwenye-nguo-baada-ya-kuamka/