Swali: Ni ipi hukumu ya mtu anayeamka kutoka usingizini na kuwa na shaka kwamba huenda ameota ndoto ya kujamiiana, kisha akaangalia nguo yake ya ndani na hakukuta manii?
Jibu: Msingi ni kwamba si wajibu kwake kuoga josho, kwa sababu yakini haiondolewi kwa shaka.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/291)
- Imechapishwa: 12/11/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya mtu anayeamka kutoka usingizini na kuwa na shaka kwamba huenda ameota ndoto ya kujamiiana, kisha akaangalia nguo yake ya ndani na hakukuta manii?
Jibu: Msingi ni kwamba si wajibu kwake kuoga josho, kwa sababu yakini haiondolewi kwa shaka.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/291)
Imechapishwa: 12/11/2026
https://firqatunnajia.com/ameota-ndoto-ya-kujamiiana-lakini-haoni-manii/