´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu) ameeleza:
”Kuna mtumwa mmoja alikuja na kujaribu kujinunua huru kwake na kusema: “Mimi siwezi nashindwa kujinunua huru. Nisaidie.” Akasema: “Nisikufunze maneno aliyonifunza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Lau utakuwa na deni mfano wa jibali Allaah Atakulipia nalo. Sema:
اللهُمَّ اكْفِنِي بِحَلاَلِكَ عنْ حَرامِكَ وأَغْنِنِي بِفَضْلِكَ عَمَّنْ سوَاكَ
“Ee Allaah! Nitosheleze mimi kwa halali yako kutokana na haramu yako. Nitajirishe kwa fadhilah zako nisiwahitaji wengine usio Wewe.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy, ambaye amesema:
”Hadiyth ni nzuri.”
[1] at-Tirmidhiy (3563), Ahmad (1/424) na al-Haakim (1/538), ambaye ameisahihisha na imenyamaziwa na adh-Dhahabiy. Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib” (116).
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 309
- Imechapishwa: 22/09/2025
´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu) ameeleza:
”Kuna mtumwa mmoja alikuja na kujaribu kujinunua huru kwake na kusema: “Mimi siwezi nashindwa kujinunua huru. Nisaidie.” Akasema: “Nisikufunze maneno aliyonifunza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Lau utakuwa na deni mfano wa jibali Allaah Atakulipia nalo. Sema:
اللهُمَّ اكْفِنِي بِحَلاَلِكَ عنْ حَرامِكَ وأَغْنِنِي بِفَضْلِكَ عَمَّنْ سوَاكَ
“Ee Allaah! Nitosheleze mimi kwa halali yako kutokana na haramu yako. Nitajirishe kwa fadhilah zako nisiwahitaji wengine usio Wewe.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy, ambaye amesema:
”Hadiyth ni nzuri.”
[1] at-Tirmidhiy (3563), Ahmad (1/424) na al-Haakim (1/538), ambaye ameisahihisha na imenyamaziwa na adh-Dhahabiy. Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib” (116).
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 309
Imechapishwa: 22/09/2025
https://firqatunnajia.com/unapokuwa-na-deni-linalokusumbua/