Buraydah bin al-Haasib (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikuwa aliwafundisha wanapofika makaburini kusema:
السَّلامُ عَلَيْكُمْ أَهْلَ الدِّيَارِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُسْلِمِين وَإِنَّا إِنْ شَاءَ اللهُ بكم لاحِقُونَ نَسْأَلُ الله لَنَا وَلَكُمْ الْعَافِية
”Amani iwe juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu! Nasi – atakapo Allaah – tutakutana nanyi. Namuomba Allaah atupe sisi nanyi afya.”[1]
Ameipokea Muslim.
´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
”Usiku mmoja alimkosa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), tahamaki akamuona akiwa Baqiy´. Huko akisema:
السلام عليكم دار قوم مؤمنين، أنتم لنا فرط وإنا بكم لاحقون، اللهم لا تحرمنا أجرهم ولا تفتنا بعدهم
”Amani iwe juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu! Nyinyi ni watangulizi wetu na sisi tutakutana nanyi. Ee Allaah! Usitunyime ujira wao na wala usitupe mtihani baada yao.”[2]
Ameipokea Ibn Maajah.
[1] Muslim (975).
[2] Ibn Maajah (1546), Ahmad (8/102) na Abu Ya´laa (8/97). al-Albaaniy amesema:
“Dhaifu. Imetajwa katika “Irwaa’-ul-Ghaliyl” (3/237) na “ar-Rawdh an-Nadhwiyr” (775). Jumla iliyosihi ni yenye kusema:
اللهم لا تحرمنا أجرهم ولا تفتنا بعدهم
”Ee Allaah! Usitunyime ujira wao na wala usitupe mtihani baada yao.”
Ndio maana nikaitaja pia katika ”Swahiyh Sunan Ibn Maajah” (1266).” (Dhwa´iyf Sunan Ibn Maajah (302))
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 313
- Imechapishwa: 16/09/2025
Buraydah bin al-Haasib (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikuwa aliwafundisha wanapofika makaburini kusema:
السَّلامُ عَلَيْكُمْ أَهْلَ الدِّيَارِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُسْلِمِين وَإِنَّا إِنْ شَاءَ اللهُ بكم لاحِقُونَ نَسْأَلُ الله لَنَا وَلَكُمْ الْعَافِية
”Amani iwe juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu! Nasi – atakapo Allaah – tutakutana nanyi. Namuomba Allaah atupe sisi nanyi afya.”[1]
Ameipokea Muslim.
´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
”Usiku mmoja alimkosa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), tahamaki akamuona akiwa Baqiy´. Huko akisema:
السلام عليكم دار قوم مؤمنين، أنتم لنا فرط وإنا بكم لاحقون، اللهم لا تحرمنا أجرهم ولا تفتنا بعدهم
”Amani iwe juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu! Nyinyi ni watangulizi wetu na sisi tutakutana nanyi. Ee Allaah! Usitunyime ujira wao na wala usitupe mtihani baada yao.”[2]
Ameipokea Ibn Maajah.
[1] Muslim (975).
[2] Ibn Maajah (1546), Ahmad (8/102) na Abu Ya´laa (8/97). al-Albaaniy amesema:
“Dhaifu. Imetajwa katika “Irwaa’-ul-Ghaliyl” (3/237) na “ar-Rawdh an-Nadhwiyr” (775). Jumla iliyosihi ni yenye kusema:
اللهم لا تحرمنا أجرهم ولا تفتنا بعدهم
”Ee Allaah! Usitunyime ujira wao na wala usitupe mtihani baada yao.”
Ndio maana nikaitaja pia katika ”Swahiyh Sunan Ibn Maajah” (1266).” (Dhwa´iyf Sunan Ibn Maajah (302))
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 313
Imechapishwa: 16/09/2025
https://firqatunnajia.com/unapoingia-sehemu-ya-makaburi/