Swali 239: Mwanamke alichelewesha kuswali Dhuhr kwa saa au nusu saa baada ya kuingia muda, kisha akapata hedhi. Je, atalipa swalah hiyo baada ya kutwahirika?
Jibu: Dhahiri ni kwamba hatoilipa, kwa sababu inafaa kwake kuchelewesha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 94
- Imechapishwa: 08/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 239: Mwanamke alichelewesha kuswali Dhuhr kwa saa au nusu saa baada ya kuingia muda, kisha akapata hedhi. Je, atalipa swalah hiyo baada ya kutwahirika?
Jibu: Dhahiri ni kwamba hatoilipa, kwa sababu inafaa kwake kuchelewesha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 94
Imechapishwa: 08/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ulipaji-wa-swalah-iliyocheleweshwa-baada-ya-kupata-hedhi/