Swali 27: Vipi kuhusu ambaye amefikishiwa ulinganizi wa Uislamu kwa sura mbaya?

Jibu: Hukumu yake ni sawa na hukumu ya wale watu ambao waliishi katika kipindi cha kukatika utume.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 36
  • Imechapishwa: 25/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´