Swali: Ambaye ni tajiri Udhhiyah ni lazima kwake?

Jibu: Ndio, kwa mujibu wa Hanafiyyah ni lazima kwa wale wenye uwezo. Ama wanachuoni wengi wanaona kuwa imependekezwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 08/08/2019