Swali: Ni ipi hukumu ya kuangalia uchawi kwenye TV?
Jibu: Haijuzu kufanya hivo isipokuwa tu kwa yule anyewakemea, kuhakikisha jambo lao na kulipeleka jambo lao mahakamani. Vinginevyo wanaiharibu ´Aqiydah na kumuathiri yule mjinga. Haijuzu kufanya hivi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
- Imechapishwa: 22/07/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Uchawi kwa uchawi?
Swali: Je, inafaa kutibu uchawi kwa kutumia uchawi? Jibu: Hapana. [´Imraan bin Huswayn (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:] ”Si katika sisi yule atakayeamini mikosi au akaomba kubashiriwa mikosi, akafanya uchawi au akafanyiwa uchawi, akafanya ukuhani au akafanyiwa ukuhani.”[1] Kutibu uchawi kwa uchawi ni…
In "Ruqyah - Matabano"
10. Uchawi unatibiwa kwa kitu gani?
Mtu anaweza kupatwa na uchawi. Uchawi ni maradhi khatari. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwahi kurogwa na myahudi mmoja. Lakini dawa yake ilikuwa kwa kutumia mambo yanayoruhusu. Dawa yake ilikuwa kwa kutumia matabano ya Kishari´ah na du´aa zinazoruhusu. "Allaah hakuteremsha maradhi yoyote isipokuwa kateremsha pia dawa yake. Kajua yule…
In "al-´Aqiydah as-Swahiyhah"
16. Mwenye kufanya, kujifunza, kufunza au kuridhia uchawi
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema: 07 - Uchawi. Kunaingia pia Swarf na ´Atwf. Atakayeufanya au akawa radhi nao anakufuru. Dalili ni maneno Yake (Ta´ala): وَمَا يُعَلِّمَانِ مِنْ أَحَدٍ حَتَّىٰ يَقُولَا إِنَّمَا نَحْنُ فِتْنَةٌ فَلَا تَكْفُرْ "Na [hao Malaika wawili] hawamfundishi yeyote mpaka wamueleze: “Hakika sisi ni mtihani, basi…
In "Tabswiyr-ul-Anaam - ar-Raajihiy"