Salaf (Rahimahumu Allaah) walikuwa wakifanya uadilifu kati ya watoto katika kuwabusu. Kwa msemo mwingine akimbusu mtoto mmoja basi anambusu mwingine na akimchekea mtoto mmoja anamchekea vilevile mwingine. Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) anawapenda wenye kufanya uadilifu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (50) http://binothaimeen.net/content/1140
- Imechapishwa: 16/06/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket