Tofauti ya damu yenye kunyuzurika na isiyonyuzurika

Swali: Kuna faida gani ya kujua tofauti ya damu yenye kunyuzurika na damu isiyonuzurika?

Jibu: Damu yenye kunyuzurika ni ile yenye kutoka kwenye mishipa ya pumzi wakati wa kuchinja.

Damu isiyokuwa ya kunyuzurika ni ile yenye kubaki kwenye nyama. Wakati mwingine inatokea unakula nyama na kuna damu iliyobakia. Haina neno. Inajuzu. Sio damu ya kunyuzurika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2017